Skip to main content

Posts

Showing posts from 2018

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING DODOMA, TANZANIA. Application form for Certificate, Diploma, Bachelor Degree and Post graduate Diploma Programmes Academic Year 2018/2019

https://www.irdp.ac.tz/documents/application%20form%20for%20certificate%20diploma%20bachelor%20degree%20and%20post%20graduate.pdf

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING (IRDP) PROSPECTUS ACADEMIC YEAR 2017/2018

https://www.irdp.ac.tz/documents/irdp%20prospectus%202017-18.pdf

Chama Cha Mpira tawi la mipango kuvaa joho la serikali ya wanafunzi chuo cha Mipango Dodoma.

Ni kile kinachoitwa Chama Cha Mpira tawi la mipango kuvaa joho la serikali ya wanafunzi chuoni hapa. Chama Cha Mpira tawi la chuo cha mipango na maendeleo vijijini Dodoma kimegeuka taasisi yenye kuamua maswala yahusuyo wanafunzi chuoni hapa kinyume na taratibu. Tumeshuhudia matukio mengi ya kushangaza na yenye kuzua sintofaham nyingi. Tumekuwa tukijiuliza kwama kweli serikali ya wanafunzi chuoni hapa kama kweli ipo? na kama kweli ipo je niyawanachuo au ni ya Chama Cha Mpira?? Serikali ya wanafunzi chuoni hapa imegeuka kuwa kibaraka wa Chama Cha Mpira hadi kufikia hatua mawaziri wa serikali ya wanafunzi kukatwa posho zao kwaajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama hicho chuoni hapa Kuelekea mchakato wa uchaguzi wa serikali ya wanafunzi chuoni hapa, yameanza kusikika mengi yenye sura ya hujuma na rushwa ndani na nje ya serikali ya wanafunzi chuoni hapa na hasa ndani ya Chama Cha Mpira.  Sintosita kuyaweka wazi machache hasa yale yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchag

I AM A RESPONSIBLE GIRL

I am a scared person with God who given dignity. My body is a temple of God not a plaything “1 Corinthians 6:19-20” God is everywhere, sees everything, and knows everything. Darkness may hide me from people, but it cannot hide me from God. “Proverbs 15:3, Hebrews 4:13” Womanhood means strength of character, mind, body and heart. Lack of self-control is a seen of weakness. I want my boyfriend to know I am a woman of strength, honor, integrity and purity Virginity and purity are still virtues; lust and impurity are still capital (mortal) sin. My kisses and affections are worth more than a party or a movie. The first “NO” maybe difficult after that it gets easier. The way I choose to dress, act and speak may be a temptation to my boyfriend. I will observe modesty for his and my own protection, remembering my own sacredness and dignity. My parents have done so much for me. I wish always to honor and respect their trust. My boyfriend will be a husband and a fathe

I AM A RESPONSIBLE BOY

I am a scared person with God who given dignity. My body is a temple of God not a plaything “1 Corinthians 6:19-20” God is everywhere, sees everything, and knows everything. Darkness may hide me from people, but it cannot hide me from God. “Proverbs 15:3, Hebrews 4:13” Manhood means strength of character as well as body. Lack of self-control is a seen of weakness. I want my girlfriend to know I am a man of honor, integrity and self-discipline. Virginity and purity are still virtues; lust and impurity are still capital (mortal) sin. The parents and relatives of my girlfriend place their trust in me. I will not betray their trust by violating the sacredness and dignity of their daughter. I will respect and honor my girlfriend in word and deed as I expect other men to respect and honor my sister and mother. I will respect the dignity of womanhood: I will not ask my girlfriend to violate her dignity, to do anything that compromises my own dignity or to do anything

UJINGA WA HISIA ZA MIILI YETU

Ujinga wa hisia za miili yetu umepelekea ku shindwa kutambua thamani ya miili yetu na kutawaliwa na tamaa za ngono. Tamaa za ngono zimepelekea kuyakubali madhara lukuki ya njia za kisasa za uzazi wa mpango (vithibiti mimba) Kutokana na kutokujitambua na kukubali kutawaliwa na hisia za miili yetu. Tumeishi kuitumikia miili yetu kwenye maswala ya ngono badala ya miili yetu kututumikia sisi kwenye maswala ya upendo, ndio maana mataifa ya magharibi (kupitia sera zao za mambo ya nje) yameweza kutupangia hata ustaarabu wa tendo la ndoa na maswala mazima ya uzao. Matumizi ya vithibiti mimba (njia za kisasa za uzazi wa mpango) ni moja wapo tu ya nja zinazotumiwa na mataifa ya magharibi za kuthibiti ongezeko la idadi ya watu duniani na hasa mataifa ya dunia ya tatu. Madhara ya njia hizi ni mengi yanayojulikana ila wamezidi kutusisitiza kutumia. Nasi pasipo kujali ama kufanya tafiti za kutosha, tumekuwa wepesi kuzitumia kwasababu tu zinarahisisha ufanywaji wa tendo la ndoa wakati wo

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING. (IRDP) STUDENT COLLAGE BARAZA.

MISO STUDENTS BARAZA Katiba ya MISO inatambua uwepo wa student baraza kama ilivyoainishwa kwenye ibara ya 12 ya katiba MISO. Ibara ya 12(1) inaeleza kuhusu uwepo au uanzishwaji wa student baraza kwenye kila tawi la chuo cha mipango. Ibara hii ya 12 ina ibara ndogo ndogo tisa zenye vipengele mbali mbali vinavyotoa utaratibu wa jinsi student baraza linavyopaswa kufanyika kwenye kila tawi la chuo cha mipango. Katika makala hii ya leo nitaangazia ibara ndogo ya 3(a na b) ya ibara hii ya 12, ambayo inahusu aina na idadi ya mikutano ya student baraza. Ibara ndogo ya 3(a) inaeleza kuwepo kwa mikutano miwili ya kawaida(ordinary meeting)ya student baraza ambayo tarehe za mikutano hiyo hutolewa mapema na serikali ya wanafuzi. Pia ibara ndogo ya 3(b) inazungumzia kuwepo kwa mikutano ya student baraza ya dharura (extra ordinary meeting) pia imetoa utaratibu wa jinsi mikutano hiyo ya dharura itakavyoitishwa. Imekuwa ni mazoea kwa serikali kutotimiza sheria hii kwa wana MISO wa

UBADHIRIFU WA FEDHA CHUO CHA MIPANGO

https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=8&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwjsv9nby7LaAhXBQBQKHQHKCZcQFghvMAc&url=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2Fthreads%2Fubadhirifu-wa-fedha-chuo-cha-mipango-dodoma-irdp.402811%2F&usg=AOvVaw29dEsej6ACIU6F4utmexVR

UNIVERSITY GENERAL REGULATION OF 2013

G OVERNMENT  N OTICE  N O . 226 published on 19/07/2013 THE UNIVERSITIES ACT   (C AP . 346) THE UNIVERSITIES (GENERAL) REGULATIONS, 2013 ARRANGEMENT OF REGULATIONS PART I   PRELIMINARY PROVISIONS Regulation Title 1.  Citation. 2.  Interpretation. 3.  Administration of Universities    .......................................................................................................... .............................................................................. Citation Interpretation  C ap. 346 1. These Regulations may be cited as the Universities (General) Regulations, 2013 and shall come into effect on the date of publication. 2.  In these Regulations unless the context otherwise requires-   “Act” means the Universities Act; Touch the link below to download the whole document http://www.tcu.go.tz/images/documents/GN%20226-%20UNIVERSITIES%20GENERAL%20REGULATIONS(1).pdf UNIVERSITY GENERAL REGULATION O