Skip to main content

Posts

Showing posts from 2017

MIPANGO STUDENT ORGANIZATION

Students of Institute of Rural Development Planning have their own Organization known as Mipango Students Organization (MISO). This accepts every Tanzanian student who is registered with the Institute to become its member and conducts its election every year. Right and Privileges are granted to all members. All correspondence in connection with MISO should be addressed to:- The Secretary General,  MISO, IRDP, P. O. BOX 138, Dodoma, Tanzania E-mail:     miso@irdp.ac.tz

Kwa taarifa zaidi kuhusiana na chuo cha mipango ya maendeleo vijijini. Tembelea tovuti yao kwa kubonyeza link yake hapo chini

https://www.irdp.ac.tz/

Picha ya pamoja baada ya tukio la kuapishwa kuwa Raisi wa serikali ya wanafunzi MISO

Kutokea kushoto; Mwanasheria wa chuo akifwatiwa na mshauri wa wanafunzi. Katikati ni Raisi wa serikali ya wanafunzi Mh Judithi Rajabu Mlanda na Makamu wake. Wapili kuokea kulia ni aliyekuwa raisi wa serikali ya wanafunzi na wa mwisho ni aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ambao Dada Judith aliibuka mshindi kwa kishindo kikubwa

BDEC II 2018/2019

JPM NDANI YA CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI

Mwanafunzi wa chuo cha mipango ya maendeleo vijijini ndugu Anselimu Rashidi Songo. Tarehe 25/08/2017 kwenye sherehe za  kuwakaribisha chuoni wanafunzi wa ngazi ya cheti akikonga nyoyo za wanafunzi wenzake kwa kuigiza sauti ya Mh. Raisi wa awamu ya tano.  bonyeza linki kuangalia video.   https://www.youtube.com/watch?v=UI4TChZVtok

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING – DODOMA SUPPLEMENTARY AND SPECIAL EXAMINATIONS TIME TABLE SPTEMBER 2016 - 2017

INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING DODOMA TIME TABLE FOR SUPPLEMENTARY AND SPECIAL EXAMINATIONS FOR CERTIFICATES, DIPLOMA, BACHELORS DEGREE, POSTGRADUATE DIPLOMA AND MASTERS DEGREE 2016/2017 ACADEMIC YEAR (11 ST SEPTEMBER- 22 ND SEPTEMBER, 2017) bonyeza link hii kushusha ratiba http://www.irdp.ac.tz/images/media/Dodoma/2017/supplementary%20and%20special%20examinations%20time%20table%20september%202017-modified.pdf

DR.GEORGE KINYASHI AKIWAELEZA JAMBO WANAFUNZI WA NGAZI YA CHETI CHUO CHA MIPANGO YA MAENDELEO VIJIJINI SIKU TA KUWAPOKEA CHUONI HAPO TAREHE 25 /08/2017

  DR. GEORGE KINYASHI ni mkuu wa idara ya maendeleo vijijini na mipango ya mikoa. Dr kinyashi aliwaasa mengi vijanahao. machache aliyoyasema ni kuwa ukizubaa kama mgeni utaweweseka, akasisitiza kuwa ugeni ni kuweweseka. hivyo basi uwepo wa kumbi za starehe usiwaweweseshe vijana hao vivyo hivyo uwepo wa wasichan na wavulana wazuri chuon hapo usiwaweweseshe bali wajitahidi kutuliza akili zao wakiwa chuon hapo ili waweze kutimiza lengo lililo waleta chuon hapo ambalo ni kusoma.  baonyeza link hii kuangalia video.  https://www.youtube.com/watch?v=yfAgCUYTQ0I